Tuesday, May 22, 2012

Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250

 Ni neno jema kumshukuru MUNGU,Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250,MAHITAJI:Maji ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za kuogea,sabuni za kufulia na vingine tutakavyoona vinafaa.Tunatakiwa kuzingatia mda sa 8 tuwe tumeshafika pale.

Tunampongeza sana Mratibu wetu Catherine Lacha wa HII safari ya Kutembelea Hospital ya Ocean road 
Asanteni nyote mnaosadiana na Catheline Lacha kuandaa haya Matukio kwa AJILI ya Wahitaji Mbalimbali KUPITIA KUNDI LETU LA VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA.

No comments:

Post a Comment