Thursday, May 3, 2012

KONGAMANO LA VIJANA JIMBO KATOLIKI LA ARUSHA MWEZI WA NANE 2012 TAREHE 8/8/2012-12/8/2012

 Tumsifu Yesu KRISTO....
Ofisi ya Vijana jimbo,Hinapenda kuwataarifu kuwa na kongmano la jimbo la ARUSHA,litafanyika tarehe 08.08.2012 - 12.08.2012  ktk kituo cha EDIMUND RICE kama Ratiba ya jimbo hinavyoelekeza.Kongamano hili ni la kipekee na la aina yake kwa jinsi litakavyofanyika na kuendeshwa.

Ujumbe wa kongamano ni:UKUMBUKE MUUMBA WAKO SIKU ZA UJANA WAKO.(MH 12;1)

Kongamano hili ni la siku TANO TU.Tunaomba viongozi mshirikiane na Baba Paroko na walezi wa vijana ili wajiandikishe na kushiliki kwa wingi,Kila kijana Mshiriki achangie sh 30,000TU,KWA AJILI YA CHAKULA,T-SHET,USAFIRI WA NDANI N.K ZOEZI LA KUPOKEA MAJINA MWISHO NI TAREHE 30.06.2012.
karibuni vijana wote wa ndani na nje ya Arusha.....

No comments:

Post a Comment