Wednesday, May 23, 2012

Kwa VINANA WAKATOLIKI WOTE JOIN VIJANA WAKATOLIKI GROUP ON FACEBOOK NOW


VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA ...ungana nasi muda wote.Group Hii ni ya Vijana Wakatoliki tu.
Mtu YOYOTE anaweza kumualika kijana yoyote Mkatoliki.
Unaweza ku-post na kuchangia Mada yoyote.
NI VYEMA TUKAWA NA LUGHA ZA KISTAARABU.

Fata link hii kujiunga na Vijana wakatoliki Tanzania http://www.facebook.com/groups/208440809218106/

 HAYA NDO MALENGO YA GROUP YA VIJANA WAKATOLIKI ON FACEBOOK PAGE: 
Maitaji ya vijana ndani na nje ya Group YETU 1.SEMINA 2.AMANI NA UPENDO 3.BURUDANI 4.SAKRAMENT ZOTE 6.AJIRA 7.SALA NA MAOMBI 8.WANAITAJI FARAJA 9.USHAURI 10.KUJITAMBUA 11.IMANI YA KANISA KATOLIKI 12.KWENDA MBINGUNI 13.WANAITAJI ERIMU JUU YA MAZINGIRA YAO 14.MIRADI YA FEDHA 15.MAENDLEO 16.WANAITAJI KUWA NA ROHO MTAKATIFU 17.N.K.

Mchakato unaoendelea ndani ya Group ya Vijana Wakatoliki ni hii kwa sasa: 
 MCHAKATO WA KWANZA


1.Tunahitaji kuwa na Viongozi wa hili group?Kusimamia Matakwa ya Vijana Wakatoliki Mapendekezo ya MAJINA MWISHO NI SIKU YA IJUMAA 25.05.2012 NA BAADA HAPO Kutakuwa na Mchujo wa Majina KABLA YA KUPIGIWA KULA ZA WAZI NA wana Group Wote...Mpaka sasa haya ndo majina yaliyopendekezwa kwa wingi Robert Sangawe,Catherine Lacha,Jane Rwekubya,Martin Kessy, Bernard Mukasa,Anna Pompy,Anna Mary Gladys Kuwese,Erick Mwombeki,Joachim Lubuva,Ignace Ignace Massao,Majegero Selecius,Nicolaus Trac,Prosper Magali,Endelea kupendekeza jina la Mtu unayependa aje kusimamia HAYA YOTE Maitaji ya vijana ndani na nje ya Group YETU 1.SEMINA 2.AMANI NA UPENDO 3.BURUDANI 4.SAKRAMENT ZOTE 6.AJIRA 7.SALA NA MAOMBI 8.WANAITAJI FARAJA 9.USHAURI 10.KUJITAMBUA 11.IMANI YA KANISA KATOLIKI 12.KWENDA MBINGUNI 13.WANAITAJI ERIMU JUU YA MAZINGIRA YAO 14.MIRADI YA FEDHA 15.MAENDLEO 16.WANAITAJI KUWA NA ROHO MTAKATIFU 17.N.K.

MCHAKATO WA PILI>>Ni neno jema kumshukuru MUNGU,Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250,MAHITAJI:Maji ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za kuogea,sabuni za kufulia na vingine tutakavyoona vinafaa.Tunatakiwa kuzingatia mda sa 8 tuwe tumeshafika pale....




1 comment:

  1. mapendo sana utume unaenda huko me naitwa abel reginald ni katibu wa viwawa parokia ya boko jimbo kuu la dar es salaam nimeipenda sana kazi yenu naomba tushirikishane katika mazuri blog yetu ni www.viwawaboko.blogspot.com

    ReplyDelete