Tuesday, May 29, 2012

JIONEE Matukio ya OCEAN ROAD KATIKA PICHA YA VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA GROUP

Wapendwa safari ya ocean road Matukio ktk picha Tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa walikuwa zaidi ya 250,MAHITAJI:Maji ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za kuogea,sabuni za kufulia yalitolewa na Vijana Wakatoliki Tanzania.
 
Robert Sangawe akimvalisha mmoja wa wagonjwa kandambili
           Sista Paskazia akimkabidhi mmoja wa wagonjwa kitambaa kilichobarikiwa na kuombewa
  Jane Rwekubya KWA JUU akikabidhi fedha mahali tuliponunua mahitaji ya ocean road
                                   Pd Joseph Mosha akiongea na mmoja wa wagonjwa

Wednesday, May 23, 2012

Kwa VINANA WAKATOLIKI WOTE JOIN VIJANA WAKATOLIKI GROUP ON FACEBOOK NOW


VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA ...ungana nasi muda wote.Group Hii ni ya Vijana Wakatoliki tu.
Mtu YOYOTE anaweza kumualika kijana yoyote Mkatoliki.
Unaweza ku-post na kuchangia Mada yoyote.
NI VYEMA TUKAWA NA LUGHA ZA KISTAARABU.

Fata link hii kujiunga na Vijana wakatoliki Tanzania http://www.facebook.com/groups/208440809218106/

 HAYA NDO MALENGO YA GROUP YA VIJANA WAKATOLIKI ON FACEBOOK PAGE: 
Maitaji ya vijana ndani na nje ya Group YETU 1.SEMINA 2.AMANI NA UPENDO 3.BURUDANI 4.SAKRAMENT ZOTE 6.AJIRA 7.SALA NA MAOMBI 8.WANAITAJI FARAJA 9.USHAURI 10.KUJITAMBUA 11.IMANI YA KANISA KATOLIKI 12.KWENDA MBINGUNI 13.WANAITAJI ERIMU JUU YA MAZINGIRA YAO 14.MIRADI YA FEDHA 15.MAENDLEO 16.WANAITAJI KUWA NA ROHO MTAKATIFU 17.N.K.

Mchakato unaoendelea ndani ya Group ya Vijana Wakatoliki ni hii kwa sasa: 
 MCHAKATO WA KWANZA


1.Tunahitaji kuwa na Viongozi wa hili group?Kusimamia Matakwa ya Vijana Wakatoliki Mapendekezo ya MAJINA MWISHO NI SIKU YA IJUMAA 25.05.2012 NA BAADA HAPO Kutakuwa na Mchujo wa Majina KABLA YA KUPIGIWA KULA ZA WAZI NA wana Group Wote...Mpaka sasa haya ndo majina yaliyopendekezwa kwa wingi Robert Sangawe,Catherine Lacha,Jane Rwekubya,Martin Kessy, Bernard Mukasa,Anna Pompy,Anna Mary Gladys Kuwese,Erick Mwombeki,Joachim Lubuva,Ignace Ignace Massao,Majegero Selecius,Nicolaus Trac,Prosper Magali,Endelea kupendekeza jina la Mtu unayependa aje kusimamia HAYA YOTE Maitaji ya vijana ndani na nje ya Group YETU 1.SEMINA 2.AMANI NA UPENDO 3.BURUDANI 4.SAKRAMENT ZOTE 6.AJIRA 7.SALA NA MAOMBI 8.WANAITAJI FARAJA 9.USHAURI 10.KUJITAMBUA 11.IMANI YA KANISA KATOLIKI 12.KWENDA MBINGUNI 13.WANAITAJI ERIMU JUU YA MAZINGIRA YAO 14.MIRADI YA FEDHA 15.MAENDLEO 16.WANAITAJI KUWA NA ROHO MTAKATIFU 17.N.K.

MCHAKATO WA PILI>>Ni neno jema kumshukuru MUNGU,Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250,MAHITAJI:Maji ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za kuogea,sabuni za kufulia na vingine tutakavyoona vinafaa.Tunatakiwa kuzingatia mda sa 8 tuwe tumeshafika pale....




Tuesday, May 22, 2012

Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250

 Ni neno jema kumshukuru MUNGU,Wapendwa safari ya ocean road ni jpili tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250,MAHITAJI:Maji ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za kuogea,sabuni za kufulia na vingine tutakavyoona vinafaa.Tunatakiwa kuzingatia mda sa 8 tuwe tumeshafika pale.

Tunampongeza sana Mratibu wetu Catherine Lacha wa HII safari ya Kutembelea Hospital ya Ocean road 
Asanteni nyote mnaosadiana na Catheline Lacha kuandaa haya Matukio kwa AJILI ya Wahitaji Mbalimbali KUPITIA KUNDI LETU LA VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA.

JIONEE MATUKIO YA VIJANA SIKU YA MATAWI MWAKA HUU KANANI-KISONGO JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA WAKIWA NA ASKOTU WAO













Thursday, May 3, 2012

MALENGO YA VIWAWA NJIRO 2011/2013

Tumemefanikiwa kupanga malengo ambayo tunaamini yatakuwa Dira na mwongozo wetu ambayo.

1.Kuwawezesha Vijana kupata kazi/Ajira.
2.Kuendeleza michezo ya ndani na nje.
3.Kuongeza idadi ya wanachama.
4.Kuwa na Makongamano,semina mbalimbali,Mikesha,sala na tafakakari ya neno la Mungu.
5.Tuwe na ziara mbalimbali za kujenga urafiki,umoja na upendo mfano;Matendo ya Huruma,Jumuiya,Parokia za jirani,Midaharo,Mitoko.
6.Tuwe na sala za siri-Marafiki wa siri.
7.Kutegemeza kanisa.
8.Kutengeneza fomu za kumtambulisha kila kijana/viwawa.
9.Kutunza nidhamu ndani na nje ya Viwawa.
10.Kuanzisha na Kuendeleza MIRADI mbalimbali.
11.Uhamashisho wa Vijana kigango cha KOLONA.
13.Kuzindua na kuanzisha VIWAWA DARAJA MBILI

KONGAMANO LA VIJANA JIMBO KATOLIKI LA ARUSHA MWEZI WA NANE 2012 TAREHE 8/8/2012-12/8/2012

 Tumsifu Yesu KRISTO....
Ofisi ya Vijana jimbo,Hinapenda kuwataarifu kuwa na kongmano la jimbo la ARUSHA,litafanyika tarehe 08.08.2012 - 12.08.2012  ktk kituo cha EDIMUND RICE kama Ratiba ya jimbo hinavyoelekeza.Kongamano hili ni la kipekee na la aina yake kwa jinsi litakavyofanyika na kuendeshwa.

Ujumbe wa kongamano ni:UKUMBUKE MUUMBA WAKO SIKU ZA UJANA WAKO.(MH 12;1)

Kongamano hili ni la siku TANO TU.Tunaomba viongozi mshirikiane na Baba Paroko na walezi wa vijana ili wajiandikishe na kushiliki kwa wingi,Kila kijana Mshiriki achangie sh 30,000TU,KWA AJILI YA CHAKULA,T-SHET,USAFIRI WA NDANI N.K ZOEZI LA KUPOKEA MAJINA MWISHO NI TAREHE 30.06.2012.
karibuni vijana wote wa ndani na nje ya Arusha.....

Ratiba ya utendaji wa jimbo....january 2012 up to December 2012