Monday, January 16, 2012

PONGEZI KWA VIJANA HAWA,,,,TUWE MFANO WAO MWAKA HUU 2012.

MBURAHATI'S VISITOR >>Kutoka kulia ni Anna Mary Gladys Naul,Rither Massao Matem,Jane Rwekubya,Lilian Honest Kyara,mdogo wetu Jane,Anayefuata ni Catherine Lacha.waliokaa mbele kutoka kulia ni Ignace Massao na Robert Sangawe.
SAFARI NDO ILIANZA HIVI MWISHO WAKAFANIKISHA PONGEZI KWENU....NASI TUNAWEZA.  
Catherine Lacha>>>Tumsifu YESU kristo,kutokana na kiwango kidogo cha fedha tulichopata,tumeona wote tukutane pale mburahati kituo cha watoto yatima saa nane na nusu mchana ili hela yote tununulie mahitaji,jinsi ya kufika panda gari mpaka manzese,ukifika manzese panda magari ya kigogo au posta,au buguruni shuka kituo cha madoto ulizia kituo cha watoto yatima wanaolelewa na masista watakuelekeza siyo mbali kutoka kituoni,au wasiliana kwa namba,0715 609881,0786 609880,0765 586711 au 0787 074130, 0762 074130, 0717 074130.Asanteni na MUNGU awabariki sana.
Waliweza kuwakilisha kiasi kisichopungua laki tano.
Haya yote ni mafanikio ya page yetu ya VIJANA WAKATOLIKI TUTAFUTE FACEBOOK.

No comments:

Post a Comment