Ni
neno jema kumshukuru MUNGU,Wapendwa safari ya ocean road ni jpili
tarehe 27-5-2012 saa nane mchana,idadi ya wagonjwa ni 250,MAHITAJI:Maji
ya kunywa,juice,matunda,biscut,miswaki,dawa
za meno,kandambili,mafuta ya kupaka,maziwa ya pact,Sabuni za
kuogea,sabuni za kufulia na vingine tutakavyoona vinafaa.Tunatakiwa
kuzingatia mda sa 8 tuwe tumeshafika pale
Catherine Lacha
Asanteni nyote mnaosadiana na Catheline Lacha kuandaa haya Matukio kwa AJILI ya Wahitaji Mbalimbali KUPITIA KUNDI LETU LA VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA.
No comments:
Post a Comment