Tumsifu Yesu KRISTO....
Ofisi ya Vijana jimbo,Hinapenda kuwataarifu kuwa na kongmano la jimbo la ARUSHA,litafanyika tarehe 08.08.2012 - 12.08.2012 ktk kituo cha EDIMUND RICE kama Ratiba ya jimbo hinavyoelekeza.Kongamano hili ni la kipekee na la aina yake kwa jinsi litakavyofanyika na kuendeshwa.
Ujumbe wa kongamano ni:UKUMBUKE MUUMBA WAKO SIKU ZA UJANA WAKO.(MH 12;1)
Kongamano hili ni la siku TANO TU.Tunaomba viongozi mshirikiane na Baba Paroko na walezi wa vijana ili wajiandikishe na kushiliki kwa wingi,Kila kijana Mshiriki achangie sh 30,000TU,KWA AJILI YA CHAKULA,T-SHET,USAFIRI WA NDANI N.K ZOEZI LA KUPOKEA MAJINA MWISHO NI TAREHE 30.06.2012.
karibuni vijana wote wa ndani na nje ya Arusha.....
No comments:
Post a Comment