Tumemefanikiwa kupanga malengo ambayo tunaamini yatakuwa Dira na mwongozo wetu ambayo.
1.Kuwawezesha Vijana kupata kazi/Ajira.2.Kuendeleza michezo ya ndani na nje.
3.Kuongeza idadi ya wanachama.
4.Kuwa na Makongamano,semina mbalimbali,Mikesha,sala na tafakakari ya neno la Mungu.
5.Tuwe na ziara mbalimbali za kujenga urafiki,umoja na upendo mfano;Matendo ya Huruma,Jumuiya,Parokia za jirani,Midaharo,Mitoko.
6.Tuwe na sala za siri-Marafiki wa siri.
7.Kutegemeza kanisa.
8.Kutengeneza fomu za kumtambulisha kila kijana/viwawa.
9.Kutunza nidhamu ndani na nje ya Viwawa.
10.Kuanzisha na Kuendeleza MIRADI mbalimbali.
11.Uhamashisho wa Vijana kigango cha KOLONA.
13.Kuzindua na kuanzisha VIWAWA DARAJA MBILI
No comments:
Post a Comment