Vijana wa Njiro wakiandaa uwanja siku ya jana
Vijana Njiro tunajituma kwa moyo wote
Vijana wa Njiro
Wachezaji wa sinoni netball walifungwa siku ya jana 16 kwa 11 na Vijana wa Njiro
Netball Sinoni Team
Wachezaji wa Njiro Netball pongezi kwenu kwa kushinda siku ya jana
Mpo makini njiro
Da Mwenyekiti wa kigango cha Njiro na Mwenyekiti wa Parokia Vijana Kazini
Timu ya football njiro
Kulia ni katekista wa Njiro uwanjani
Timu ya Njiro vijana pongezi kwenu siku ya jana kwa kushinda 4-0 Burka
Mashabiki wa Vijana Njiro
Wana Viwawa Njiro hapo juu
Mlezi wa Vijana njiro Fr.Paul Raia Paroko msadizi Njiro
No comments:
Post a Comment