Vijana ( VIWAWA) wa parokia ya familia takatifu njiro jana kwa kushirikiana na mlezi wao Father Austaki Tarimo walifanya uteuzi mdogo wa viongozi vijana kutokana na uongozi huo kulegalega kutokana ka kuwa na mapengo mengi.. uongozi umefikia uamuzi huo kutoka na kujiuzuru m/mwenyekiti wiki 2 tu baada ya uchaguzi, pia wamemsimamisha katibu wao kutokana na kutowajibika ipasavyo na maswala ya vijana, kulegalega kwa katibu msaidizi,lakini katibu msaidizi alipewa onyo kali na kukiri kutowajibika ipasavyo hivyo basi na kuhaidi kuajibika kama kawaida, na kuomba uongozi umsamehe kwa yaliyopita. pia uongozi umeamua kuongeza nafasi moja ambayo awali hawakuiweka ya m/mhazini, na kutokana na majukumu mengi aliyonayo mhazini hivyo mhazini aliomba aongezewe nguvu upande wake,Na ufuatao ni uongozi mpya wa Viwawa njiro.
MWENTEKITI- MTAKINGILWA VENANT NICOLAUS.
M/MSADIZI - EDWIN KARABA BAZIAN.
KATIBU- FRANCISCA JOSEPH.
K/MSADIZI-JANE MAKETA.
MHAZINI MAJEGERO SELECIUS.
M/MSADIZI-INNOCENT JOSEPH NYAMBO.
Hii ndo safu nzima ya uongozi Viwawa njiro,kuanzia siku ya jana..
No comments:
Post a Comment